Kiuneme ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wauneme. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiuneme imehesabiwa kuwa watu 19,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuneme iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuneme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.