Kiunubahe ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waunubahe. Mwaka wa 2012 idadi ya Waunubahe ilikuwa watu 59 lakini saba wao tu waliweza kuongea lugha yao ya Kiunubahe yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiunubahe iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiunubahe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.