Kiut-Ma'in

Kiut-Ma'in (pia Kifakanci au au Kifakai) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wafakai. Baadhi ya lahaja za Kiut-Ma'in ni Kikag, Kifer, Kijiir, Kikoor, Kiror na Kizuksun. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiut-Ma'in imehesabiwa kuwa watu 36,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiut-Ma'in iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiut-Ma'in kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.