Kiuyghur

Lugha ya Asia ya Kati

Kiuyghur ni lugha ya Kiturki nchini Uchina, Kazakhstan, Uzbekistan, Mongolia na Uturuki inayozungumzwa na Wauyghur. Ni lugha rasmi katika jimbo la Xinjiang, nchini Uchina. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiuyghur nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni kumi. Pia kuna wasemaji 191,000 nchini Kazakhstan (2009) na 1000 nchini Mongolia (1982). Idadi ya wasemaji nchini Uturuki na Uzbekistan haujulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuyghur iko katika kundi la Kiturki ya Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuyghur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.