Kivale
Kivale ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wavale. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kivale imehesabiwa kuwa watu 5400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivale iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kivale kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kivale
- lugha ya Kivale katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/vae
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |