Kivao
Kivao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wavao kwenye visiwa vya Vao na Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kivao imehesabiwa kuwa watu 1900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivao iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kivao kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kivao Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kivao katika Glottolog
- lugha ya Kivao kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |