Kivitu
Kivitu (pia Kimuduapa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wavitu. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kivitu imituabiwa kuwa watu 8800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivitu iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kivitu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kivitu
- lugha ya Kivitu katika Glottolog
- lugha ya Kivitu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivitu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |