Kiwaima'a
Kiwaima'a ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Wawaima'a. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiwaima'a imehesabiwa kuwa watu 18,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaima'a iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwaima'a kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwaima'a
- lugha ya Kiwaima'a katika Glottolog
- lugha ya Kiwaima'a kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwaima'a kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |