Kiwaja ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wawaja. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiwaja imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaja iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.