Kiwaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wawaka. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiwaka imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaka iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.