Kiwali ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wawali. Isichanganywe na lugha ya Kiwali inayozungumzwa nchini Ghana. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kiwali imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwali iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwali (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.