Kiwalio ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawalio. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiwalio imehesabiwa kuwa watu 230. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwalio iko katika kundi lake lenyewe la Kiwalio. Wengine huangalia Kiwalio na lugha za karibu nayo kuwa familia ndogo yenyewe ya lugha nje ya lugha za Kisepik.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwalio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.