Uwanja wa Ndege wa Dong Hoi
(Elekezwa kutoka Kiwanja cha Ndege cha Dong Hoi)
Kiwanja cha Ndege cha Dong Hoi ni kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Dong Hoi nchini Vietnam.
Dong Hoi Airport Sân bay Đồng Hới Cảng hàng không Đồng Hới | |||
---|---|---|---|
IATA: VDH – ICAO: none | |||
Muhtasari | |||
Aina | Public | ||
Mmiliki | Northern Airports Corporation | ||
Opareta | Northern Airports Authority | ||
Mahali | Dong Hoi | ||
Anwani ya kijiografia | 17°30′54″N 106°35′26″E / 17.51500°N 106.59056°E | ||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
ft | m | ||
11/29 | 7,874 | 2,400 | Concrete |
Jina kamili kwa Kivietnam ni Sân bay Đồng Hới au kwa Kiingereza Cảng hàng không Đồng Hới.
Inahudumiwa na Vietnam Airlines. Ilianzishwa kama kiwanja cha ndege cha kijeshi wakati wa ukoloni wa Ufaransa. Tangu 2007 ilipanushwa hasa kwa ajili ya mipango ya utalii katika sehemu hii ya Vietnam.
Kiwanja cha ndege kipo kilomita 6 kusini ya Dong Hoi na safari kwa treni kutoka mjini ni dakika 1A. .[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Dong Hoi airport put into use. CPV (2008-5-19).
- ↑ Dong Hoi airport put into use. Vietnam News (2008-5-19).
Viungo vya nje
hariri- Construction begins on new Quang Binh airport Ilihifadhiwa 11 Machi 2007 kwenye Wayback Machine. Viet Nam News, 1 Septemba 2004