Kiwarwar-Feni (pia Kitangga) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawarwar kwenye visiwani vya Feni. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwarwar-Feni imehesabiwa kuwa watu 2100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarwar-Feni iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarwar-Feni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.