Kiwasembo (pia Kigusap) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawasembo. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kiwasembo imehesabiwa kuwa watu 590. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwasembo iko katika kundi la Kipihom.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwasembo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.