Kiweyto ilikuwa lugha nchini Ethiopia iliyozungumzwa na Waweyto. Idadi ya Waweyto imehesabiwa kuwa watu 1630 lakini hakuna aendeleaye kuongea Kiweyto, maana yake lugha ya Kiweuto kimetoweka. Waweyto wengi huzungumza Kiamhara. Kufuatana na uainishaji wa lugha, haijulikani kama Kiweyto ni lugha ya Kiafrika-Kiasia au ya Kinilo-Sahara.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiweyto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.