Katika sayansi ya tarakilishi, kiwiano (kwa Kiingereza: modem, kifupi cha "kifaa cha mawasiliano kitumikacho kati ya kompyuta na simu") ni kifaa kinachotohoa data ili iweze kutumwa kwa tarakilishi nyingine. Kiwiano ni chombo kinatumika kati ya tarakilishi mbili.

Kiwiano kinaitwa Hayes 300 Baud Smartmodem.

Marejeo

hariri
  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.