Sayansi ya tarakilishi

Sayansi ya tarakilishi ni sayansi kuhusu programu, data na maarifa. Mwanasayansi wa tarakilishi anasoma programu na nadharia ya tarakilishi.

Tarakilishikuu ya Nasa nchini Marekani.
Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sayansi ya tarakilishi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.