Kiwiliwili

Kiwiliwili pamoja na mahali pa ogani mhimu ndani yake

Kiwiliwili (kilatini truncus „gogo“) ni sehemu kuu ya mwili bila kichwa, shingo, miguu na mikono na mkia.

Sehemu kuu za kiwiliwiliEdit

Kiwiliwili hutazamiwa kuwa na sehemu 4 ndani yake (pamoja na majina ya kilatini yanayotumiwa na matibabu)

Ogani muhimu katika kiwiliwiliEdit

Ogani nyingi muhimu zimo ndani ya sehemu za kiwiliwili, kwa mfano