Kiwolaytta
Kiwolaytta ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wawolaytta. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiwolaytta imehesabiwa kuwa watu 1,710,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwolaytta iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiwolaytta kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwolaytta
- lugha ya Kiwolaytta katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/wal
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwolaytta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |