Kiwomo ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawomo. Idadi ya wasemaji wa Kiwomo haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwomo iko katika kundi la Kiskou.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwomo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.