Kixiri ni lugha ya Khoisan nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Waxiri. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kixiri imehesabiwa kuwa watu 87 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kixiri kiko katika kundi la Kikhoekhoe.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kixiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.