Kiyale ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayale. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiyale imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyale haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.