Kiyami ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wayami. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiyami imehesabiwa kuwa watu 3380. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyami iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.