Kiyangkam
Kiyangkam (pia Kibashar) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wayangkam. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiyangkam imehesabiwa kuwa watu 100 tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka, Wayangkam wakitumia lugha ya Kihausa badala ya lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyangkam iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiyangkam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyangkam
- lugha ya Kiyangkam katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bsx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyangkam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |