Kiyangum-Gel ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayangum. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyangum-Gel imehesabiwa kuwa watu 45 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyangum-Gel iko katika kundi la Kipalei.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyangum-Gel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.