Kiyap ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wayap. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiyap imehesabiwa kuwa watu 6590 nchini Mikronesia, na wasemaji 800 katika nchi nyngine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyap iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.