Kiyapunda (pia Kiyeri) ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayapunda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyapunda imehesabiwa kuwa watu 60 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyapunda iko katika kundi la Kiwapei.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyapunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.