Kiyau ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayau. Isichanganywe na lugha ya Kiyau ambayo ni lugha ya Kitorricelli. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiyau imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyau iko katika kundi la Kifinisterre.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.