Kiyekhee (pia Kietsako) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wayekhee. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiyekhee imehesabiwa kuwa watu 274,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyekhee iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyekhee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.