Kiyemsa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wayem. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiyemsa imehesabiwa kuwa watu 92,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyemsa iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyemsa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.