Kiyerakai ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayerakai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyerakai imehesabiwa kuwa watu 380. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyerakai iko katika kundi lake lenyewe la Kiyerakai.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyerakai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.