Kiyeyi ni lugha ya Kibantu nchini Namibia na Botswana inayozungumzwa na Wayeyi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiyeyi imehesabiwa kuwa watu 35,000 nchini Namibia na watu 20,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyeyi iko katika kundi la R40.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyeyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.