Kiyoidik
Kiyoidik ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wayoidik. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiyoidik imehesabiwa kuwa watu 770. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyoidik iko katika kundi la Kihanseman.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiyoidik kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyoidik
- lugha ya Kiyoidik katika Glottolog
- lugha ya Kiyoidik kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyoidik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |