Kiyong ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uthai inayozungumzwa na Wayong. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyong imehesabiwa kuwa watu 12,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyong iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.