Kiyulu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudan, Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wayulu. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiyulu nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 4000. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Sudan pamoja na Sudan Kusini, na wengine nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyulu iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.