Kizaza
Kizaza au Kidimli (Zazaki, Dımılki) ni lugha ya kitaifa ya Uzaza. Ni kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi za lugha za Kihindi-kiulaya. Inatumiwa hasa katika nchi zifuatazo:
- Zazaki (Turuki)
- Dımılki
- Kırmancki
Kuna wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 3, na takriban wasemaji wengine milioni 3- 4 kama lugha ya pili.
- Katika Elazığ, Diyarbakır, Bingöl penye wasemaji takriban milioni 2 lugha inaitwa "Zazaki" .
- Katika Siverek, Gerger, Şanlıurfa penye wasemaji milioni 1 pia lugha inaitwa "Kidimli".
Viungo vya nje
hariri- Ernst Kausen, Die Zaza-Sprache (Basiert vor allem auf Selcan 1998 und ist die Grundlage dieses Artikels) (DOC; 177 kB)
- Roşan Lezgîn, "Among Social Kurdish Groups – General Glance at Zazas", zazaki.net
- Online-Versionen einiger Arbeiten zur Zaza-Sprache Ilihifadhiwa 29 Julai 2012 kwenye Wayback Machine.
- Zılfi Selcan, Die Entwicklung der Zaza-Sprache Ilihifadhiwa 7 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine. (PDF; 476 kB)
- Mesut Keskin, Zur dialektalen Gliederung des Zazaki. Magisterarbeit, Frankfurt 2008. Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine. (PDF)
- Arslan, İlyas (2007): Partikeln im Zazaki. Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. (PDF; 1,7 MB)
- Zazaki für Kinder
- Die Online-Präsenz des Zazaki-Instituts Ilihifadhiwa 11 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine.
- Wörterbuch Deutsch–Zazaki–Deutsch
- lugha ya Kizaza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kizaza
- lugha ya Kizaza katika Glottolog
- lugha ya Kizaza kwenye Ethnologue