Kizhuang-Yang ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Yang nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 765,000. Pia kuna wasemaji wa Kizhuang-Yang nchini Vietnam lakini idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Yang iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang-Yang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.