Kizhuang-Yongnan
Kizhuang-Yongnan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Yongnan imehesabiwa kuwa watu milioni 1.8 nchini Uchina na watu 10,000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Yongnan iko katika kundi la Kitai ya Kati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kizhuang-Yongnan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kizhuang-Yongnan
- lugha ya Kizhuang-Yongnan katika Glottolog
- lugha ya Kizhuang-Yongnan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang-Yongnan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |