Kizhuang-Dai
(Elekezwa kutoka Kizhuang cha Dai)
Kizhuang-Dai ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Dai nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 200 tu nchini Vietnam (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Dai iko katika kundi la Kitai ya Kati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kizhuang-Dai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kizhuang-Dai
- lugha ya Kizhuang-Dai katika Glottolog
- lugha ya Kizhuang-Dai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang-Dai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |