Kizokhuo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kizokhuo imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizokhuo iko katika kundi la Kingwi. Wengine hufikiri kwamba lugha huzungumzwa pia nchini Vietnam ambako huitwa Kichoko.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizokhuo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.