Kizunguzungu (wimbo)

Kizunguzungu ni wimbo wa mwimbaji Mtanzania mwenye asili ya Uswidi aitwaye SaRaha. Wimbo ulitolewa kidigitali tayari kupakuliwa mnamo tarehe 20 mwezi Februari mwaka 2016, uliandikwa kwa ushirikiano wa SaRaha, Anderz Wrethov na Arash Labaf. Mwaka 2016 ulishiriki katika mashindano ya Melodifestivalen, pia kupata nafasi nyingine katika nusu fainali ya tatu. Hatimaye kufuzu hadi fainali,[1] na kushika nafasi ya tisa.[2]

Marejeo hariri

  1. http://www.svt.se/melodifestivalen/panetoz-ar-i-final-i-melodifestivalen-2016-och-kommer-inleda-hela-finalen
  2. http://www.eurovision.tv/page/news?id=frans_wins_melodifestivalen_in_sweden