Klaipėda (Kijerumani: Memel) ni mji nchini Lituanya. Kuna wakazi 164 310 (mwaka 2018). Mji ulianzishwa 1254.

Klaipėda

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 401 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

 

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu "Klaipėda" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Klaipėda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.