Koala
Koala | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Koala Phascolarctos cinereus
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Koala (kutoka Kiing.: koala, Kisayansi: Phascolarctos cinereus) ni mnyama mdogo wa Australia mwenye manyoya ya kijivu na anaofanana na dubu. Kama kangaruu na marsupialia wengine, koala wa jike huwa na pochi (ambayo inaitwa marsupiumu) ambamo mtoto humalizia kukua akiwa humo ndani.