Wombati
Wombati | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Wombati wa kawaida (Vombatus ursinus)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 6 na spishi 3 zilizopo bado: |
Wombati ni marsupialia wenye miguu midogo ambao wanapatikana nchini Australia. Wana urefu wa mita moja. Wanyama hao wapo wa aina tatu za spishi na wapo katika familia ya Vombatidae.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wombati kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |