Koichi Takada

Mwanamichezo wa Paralimpiki wa Kijapani

Koichi Takada(高田 幸一, Takada Kōichi) ni mwanariadha mlemavu nchini Japani alieshiriki hasa katika mashindano ya mbio ndefu ya F11 na T11. Koichi alishiriki katika Michezo mitatu ya Walemavu, yake ya kwanza mwaka 1992 alipata medali ya shaba katika mbio ndefu ya B3. Baada ya kukosa michezo ya mwaka 1996 alishindana tena mwaka wa 2000 katika mbio ndefu na mita 100 lakini akashinda medali ya fedha katika 4 × 100 m kama sehemu ya timu ya Japani.Alikosa tena Michezo ya Olimpiki ya Walemavu kabla ya kushiriki Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya joto mwaka 2008 licha ya kushiriki mbio za mita 100 na kuruka mbali ilikuwa michezo ya kwanza ambayo Koichi alishindwa kushinda medali.[1]

Marejeo

hariri
  1. profile on paralympic.org
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Koichi Takada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.