Komal Oli (amezaliwa 16 Aprili) ni mwimbaji, mwanasiasa na mtangazaji wa redioni pamoja na televisheni nchini Nepal. Aliingia katika siasa za Nepal hivi karibuni na ni mwanachama wa bunge la taifa la shirikisho akiwakilisha chama cha kikomunisti cha Nepal (NCP) akiziba nafasi iliyohifadhiwa kwa ajili ya wanawake.[1][2][3]

Komal Oli

Maisha ya awali

hariri

Komal alizaliwa tarehe 16 Aprili huko Tikari, Dang na wazazi wake Deepa na Lalit Oli. Yeye ni mkubwa kati ya watoto wanne. Alijifunza mwenyewe muziki akiwa shuleni.[4]

Marejeo

hariri
  1. "Komal Oli". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-27. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "गीत गाउन प्युठान पुगिन् राष्ट्रियसभा सदस्य कोमल वली". RatoPati (kwa Kinepali). 2018-02-18. Iliwekwa mnamo 2022-07-23.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  3. "Komal Oli worried about Dashain ticket fares", My Republica. Retrieved on 21 April 2019. 
  4. "Komal Oli Biography". Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Komal Oli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.