Kombolela (tamthilia)
Tamthilia
Kombolela ni tamthilia ya televisheni kutoka nchini Tanzania. Imetayarishwa na Kisimani Films na kuongozwa na Majag Imeanza kurushwa hewani mwaka 2021 katika chaneli ya Sinema Zetu kwenye Azam TV kila Ijumaa hadi Jumapili saa moja jioni.
Kombolela alishinda tuzo zaMajic vibe Awards kama mfululizo bora wa televisheni wa mwaka wa 2021[1].
Muhtasari
haririUstaarabu umezikwa, kazi hazionekani, pesa nazo zimejificha, wanakula kilichopo na wamejaa nyumba haipumui.
Maelezo ya jumla
haririKombolela ni tamthilia inayoelezea familia ya Mzee Kikala[2] ambayo ni familia ya Kiswahili iliyojaa visa, mikasa, upendo, vurugu, majungu na chuki. Wanafamilia wote huishi pamoja katika nyumba ya baba yao Mzee Kikala huku wakimtegemea kwa kila kitu.
Tanbihi
hariri- ↑ "Tuzo za filamu Tanzania 2022 vipengele 25 kuwaniwa". Mwananchi (kwa Kiingereza). 2022-09-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-28. Iliwekwa mnamo 2022-10-29.
- ↑ "Mzee Kikala: Nina watoto wengi kuliko wa kwenye Kombolela". Mwananchi (kwa Kiingereza). 2022-05-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-28. Iliwekwa mnamo 2022-10-29.
Viungo vya nje
hariri- https://m.imdb.com/title/tt21318028/
- https://azamtv.co.tz/tan/sinema-zetu/single/kombolela Ilihifadhiwa 28 Oktoba 2022 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kombolela (tamthilia) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |