Kongosho
Kongosho (kwa Kiingereza "pancreas") ni sehemu ya mwili wa binadamu na wanyama mbalimbali.
Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambayo Insulin ni kichocheo au homoni ambayo kazi yake ni kuondoa glucose katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini na hutumika kama nishati mwilini.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kongosho kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |