Korea
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Korea ni neno la kutaja
- rasi ya Korea katika Asia ya Mashariki
au moja kati ya nchi mbili zilizopo kwenye rasi hiyo:
- Korea ya Kaskazini (rasmi: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea, mji mkuu Pyonyang)
- Korea ya Kusini (rasmi: Jamhuri ya Korea, mji mkuu Seoul)